Woot! Woot! Biashara Tips tupo hewani kwa mara ya kwanza kabisa. Tukiahidi siri kibao za mafanikio katika biashara yako ama wazo lako la biashara. Bila gharama yoyote tutajibu maswali, kutoa ushauri na kusaidia katika business plans na proposals kwa wafanyabiashara wadogo wadogo, wanafunzi wa vyuo na jamii kwa ujumla.
Tunapokea mawazo binafsi pia, kwa kifupi kila uingiapo humu utajifunza jipya,sehemu pekee utakapo pokea msaada wa kibiashara,mawazo ya kibiashara,ushauri na siri za mafanikio bure.
Muda wowote tunapatikana kupitia e-mail: biasharatipc@gmail.com
Karibu Sana